SISHANGILII kwasababu ya kushindwa au kuwashinda, laa, bali kwasababu biashara yangu ilichanganya kwa kiasi cha kutosha sana tu. Lakini kwakuwa msimu wake umeisha, nimeona nibadilishe biashara yangu, na sasa nitaanza biashara yaaaaa…….!!! Ah ngoja kwanza nimalize kuisajili maana jamaa wasije wakanijia juu. Lakini nikiwadokeza tu itakuwa ni biashara ambayo inawahusu jamaa zangu waliofanikiwa kupata tiketi za kwenda kule kwenye lile jumba la duara Dodoma kwa ajili ya kutuwakilisha katika kuongeza viraka kwenye katiba yetu.
Kama kuna biashara ambayo unaweza kunishauri nikaifanye…nzuri zaidi ya niwazayo, au bidhaa ambazo naweza kuongeza kwenye zile nilizokuwa nazo…….karibu sana unidokezee.
December 18, 2005 at 10:35 am
Msangi huna biashara sasa zaidi ya uandishi wa hotuba na hija za hao wakubwa maana wataliwa wengi humo mbumbumbu kabisa siwataji. Yaani nakuonea wivu maana hiyo ajira itakuwa safi sana, subiri hapo Dom siku si nyingi patakavyokuwa sehemu ya vituko.
December 30, 2005 at 4:59 pm
Kweli umepotea sana. Muhimu uwe unatuambia, usiishie hivi hivi.
January 2, 2006 at 4:29 am
cool
January 4, 2006 at 12:13 pm
heri ya mwaka mpya iwe nawe pia kaka msangi!
cheers!–>