Katika mfululizo wa upashanaji wa habari mbalimbali kuhusiana na yaliyojiri katika Bunge Kivuli la Vijana wa Kitanzania, lililofanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, hivi karibuni jijini Dar es salaam, leo hii nimeona niwajulishe kile walichokisema wakati wa uzinduzi wa ajenda yao. Isome ‘Hotuba ya Vijana wakati wa Uzinduzi wa Ajenda ya Vijana kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005′ pamoja na kuufahamu kwa undani mchakato uliowezesha kupatikana kwa ajenda hiyo
July 20, 2005
July 21, 2005 at 11:22 pm
Ahsante sana Msangi. Hii ni safi sana
August 7, 2005 at 11:23 pm
MSangi asante kwa hotuba na taarifa nzima.