Hawa ni baadhi ya Vijana walioshiriki katika Bunge la Kwanza kabisa katika historia ya Tanzania, Bunge Kivuli la Vijana, ambalo lilifanyika kwa muda wa siku tatu tu, katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es salaam, lakini huwezi amini kuwa siku hizo tatu zilikuwa na maana kubwa sana katika uelekeo wa Tanzania.
Endelea kuwa mkao wa kujua nini hasa kilichojiri huko, kaka yangu mmoja anataka kujua posho zilikuwa je ili alinganishe na zile zinazowatoa roho wahishimiwa wenzetu kule Idodomya.
July 15, 2005
July 16, 2005 at 4:33 pm
nime ipenda hiyo..hahaa..wee posho gani!! au ndo tutajiju. mimi ni mheshmiwa faraja nilikuepo vizurituu kwenye vikao vyote ndani na nje!iyoo posho smchezo,,ebwna ndio.farajaf2002@yahoo.co.uk

July 17, 2005 at 3:43 pm
Fanyeni kweli, tusije tukaangushana,
Nambiza Tungaraza