Kwa hakika kikao cha ‘Baraza la makadinali wa CCM’, kilichokutana kwa muda wa siku tatu mjini Dodoma, kimefanikiwa kumpata ‘Papa’ wao, ambaye atakiongoza chama hicho kuibuka, kwa mara nyingine tena, na ushindi wa kishindo, katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2005. Soma hapa kumjua huyo ‘Papa mtakavitu’. Ikiwa unalolote unalopenda kujadili kuhusu mshindi huyu, bilashaka wakati ni huu, karibu tumjadili.